Video: DUh! Kuna wakati Watanzania akili huwakaa vizuri, hadi wanaanza kutamani katiba nzuri yenye ubora kama hii yetu Kenya

huyo siyo mtized...cheki kimo na pua

ni mamluki wa siasa
 
Bora yetu .kwa sababu sio mpya.
Ila ya KWENU ni mpya lakini
Na imeshindwa kuwaunganisha rais wenu na msaidizi wake..
Kuweni makini wasije wakarestiana in peace.
Na kwa bahati mbaya zaidi katiba yetu Tz haizingatii uhuru, haki na demokrasia.
 
Huu ni ujinga.

Katiba ya Tz iko mkononi mwa mtu mmoja na ndiye anayeikalia na kuamua vitu visivyo.
 
KATIBA yetu Tanzania haifai na CCM wanaogopa kuandikwa Upya kwani wanajua itakuwa ndo KIAMA chao. Hongereni +254 Kwa KATIBA yenu iloandikwa kukidhi matakwa ya wana Kenya...
 
Na kwa bahati mbaya zaidi katiba yetu Tz haizingatii uhuru, haki na demokrasia.
Katiba ya marekani inazingatia ? Maana kuna mgombea urais ya mda wote anasifia nchi za wenzake tu mpaka kero utamsikia marekani hamna hiki ana mawazo ya kitumwa tumwa tuuuuu mpaka kero halafu anataka nchi
 
Bora yetu .kwa sababu sio mpya.
Ila ya KWENU ni mpya lakini
Na imeshindwa kuwaunganisha rais wenu na msaidizi wake..
Kuweni makini wasije wakarestiana in peace.
Ubaya ni kwamba unaingiza katiba kwenye mambo ya siasa. Politics is a dirty game. How you are connecting the two is beyond comprehension
 
Wanasemaga tuna GDP kubwa kutajenga katiba nyengine tu mda wowote tukiamua
 
Katiba na SIASA ni tofauti?.
Haya sawa
Ubaya ni kwamba unaingiza katiba kwenye mambo ya siasa. Politics is a dirty game. How you are connecting the two is beyond comprehension
 
Tunaweza tukawa na katiba mpya na bado isifuatwe.
Kama Kenya Wana katiba mpya lakini rais na makamu wake wanagongana makonde
Wanasemaga tuna GDP kubwa kutajenga katiba nyengine tu mda wowote tukiamua
 
Rais anatoa hela za ujenzi wa barabara wakati anajifanyia kampeni
 
Katiba ya marekani inazingatia ? Maana kuna mgombea urais ya mda wote anasifia nchi za wenzake tu mpaka kero utamsikia marekani hamna hiki ana mawazo ya kitumwa tumwa tuuuuu mpaka kero halafu anataka nchi
Kwahy unataka kulinganisha siasa za marekani na hizi siasa uchwara za mabavu za hapa Tz?

Pathetic!
 
Vipi mnaendeleaje na katiba yenu?

Imewafikisha polite?
 
Back
Top Bottom