Video: DUh! Kuna wakati Watanzania akili huwakaa vizuri, hadi wanaanza kutamani katiba nzuri yenye ubora kama hii yetu Kenya

Kenya Mnatakiwa Mjifunze Siasa Bora Kwa Tanzania

Duh! Tujifunze siasa zenu hizo za kulazimisha kura kwa Kisukuma, unawatisha watu kwa kilugha na kuwaambia hawatapata maendeleo wakichagua upinzani, nyie katiba mpya ndio itawaokoa, sema nayo ni balaa maana mlishakaa mkao usioeleweka kwamba hamuwezi kuandika katiba nzuri bila mafarakano, mlijaribu kipindi cha Kikwete mkaishia kuangukia pua.
Suala la serikali ziwe tatu au mbili lilionyesha namna gani hampo tayari, liliibua hisia za kiajabu ajabu.
 
Niliona Diamond akishukuru magufuli kwa kuweza kupea wanawake wengi mimba.
Katiba ya Tanzania ni kituko[emoji23][emoji23]
 
wee nyang'au, huyo Polepole ni Mtz njaa kali...
Watz tunaojitambua tupo majority.
 
Niliona Diamond akishukuru magufuli kwa kuweza kupea wanawake wengi mimba.
Katiba ya Tanzania ni kituko[emoji23][emoji23]
Katiba ya Kenya kama ni nzuri mbona haiwazuii nyie kuuana kama juzi?Kenya nchi ya ovyo sana
 
Kwahy unataka kulinganisha siasa za marekani na hizi siasa uchwara za mabavu za hapa Tz?

Pathetic!
We inajitambua kwel ! Kwahiyo marekani hamna siasa za mabavu au haufatilii unaimba mapambio ya Tundu lile ? Sehem gani ktk ardhi ya TANZANIA polisi walimkandamiza Kwa goti mtanzania mpaka akakata roho ? Lakini Kwa kua una mahaba na Marekani yote huyaoni haya
 
Ni bora yao imekaliwa na watu wawili na maendeleo yako kuliko huyu kiziwi na hakuna alilofanya
Ungekua wewe ndio Rais ulikua na mipango ya kufanya nini ili uone kuna maendeleo au ulitaka kifanyike kitu gani ili uone kuna maendeleo
 
Katiba ya kwanza ya Tanzania ilitungwa mwaka gani?
Bora yetu .kwa sababu sio mpya.
Ila ya KWENU ni mpya lakini
Na imeshindwa kuwaunganisha rais wenu na msaidizi wake..
Kuweni makini wasije wakarestiana in peace.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…