VIDEO: Dunia ilivyoumbwa

VIDEO: Dunia ilivyoumbwa

Iko hivi;
At the center of Creation kipo Kisiwa ambacho kinazungukwa na nyota.
Zile nyota, innermost circle ya zile nyota inachukua miaka 1,000 kuzunguka kile Kisiwa.
Outermost circle inatumia miaka 4,320,000.
Kwa hiyo one day in the life of The Creator is 1,000 times 4,320,000 million years.
 
Umeelewa lkn kilichozungumzwa?
 
Nimempenda huyo sheikh kwa kujaribu kuambatanisha elimu dunia na elimu akhera (amefanya research yake kwa kiasi).

Lakini kwa maelezo yake ‘ancient civilisation theorists’ watasema huo ni uthibitisho vitabu vya mungu msingi wake ni likes of Annanuki or other aliens.

Halafu msingi wa bing bang theory ni ‘Albert Einstein’ general theory of relativity unfinished predictions.

Hesabu za Einstein kwenye ‘general relativity’ when expanded zimetoa Nobel prizes nane mpaka sasa wakati yeye mwenyewe Nobel prizes yake ni ‘brownian motion’ (kazi nyingine kabisa).

Funny thing mtu aliesema maji ni particles kwa mara ya kwanza (Ludwig Boltzmann)iliyopelekea kuthibitishwa kwa ‘Brownian motion’ na na msingi mzima wakuanza kuchukulia particle physics serious wenzake walimuona chizi alipotoa hayo mawazo (hadi kujinyonga).

Ukirudi kwa Eisntein na ‘Bing Bang Theory’ funny again alie expand hiyo theory ni Belgian priest ‘Georges Lemaîtrendio wa kwanza kusema Einstein akikubaliana (but then alibishia wengi walio expand theory yake including uwepo wa black holes) lakink sio huyo Haas or Hans Sheikh anaemsema.

Religion scriptures ni hadithi za waarabu tu, dini ya kwanza ni Jews (original Jews ni waarabu pia).
 
Adam na hawa walikuwa Jewish? Akili zako kama kuku jike anaejifanya kukimbia jogoo kumbe anautaka?
 
Uwezi kujifunza mambo ya ulimwengu kama kichwa chako sio cha kupokea elimu.

Hakuna kitabu cha dini chenye uthibitisho wa archeology from Old Testament, sasa kama unataka kuongea dini lazima ujue msingi wake pia.

Hayo ya kupandana ngoja nikusaidie, mtu yeyote anaewaza kupandwa hizo akili zipo kichwani kwake yeye (anaongea tu, kukimbia psychology issue zake), achia tu mzigo kama vipi,

Soma historia ya dini au tafuta vipindi vilivyofanya investigation za dini’ msingi wa vitabu vya dini ni Arabic tales, walichokua wanapishana ni mtindo wa kufanya ibada tu na story kubadilika-badilika overtime ndio msingi wa Abrahamic religion.

Kwa hivyo wewe unaamini Adam na Eve story yenye minajil ‘incest’ kwenye ku-populate dunia.
 
Uwezi kujifunza mambo ya ulimwengu kama kichwa chako sio cha kupokea elimu.

Hakuna kitabu cha dini chenye uthibitisho wa archeology from Old Testament, sasa kama unataka kuongea dini lazima ujue msingi wake pia.

Hayo ya kupandana ngoja nikusaidie, mtu yeyote anaewaza kupandwa hizo akili zipo kichwani kwake yeye (anaongea tu, kukimbia psychology issue zake), achia tu mzigo kama vipi,

Soma historia ya dini au tafuta vipindi vilivyofanya investigation za dini’ msingi wa vitabu vya dini ni Arabic tales.
Umezaliwa 1990 unajifanya mjanja kuliko nabii Adam waliozaliwa dunia inaumbwa?
 
Umejuaje ushasoma historia ya kuandikwa kwa hivyo vitabu vya dini.

Hivi unajua huyo Constantine alikuta utamaduni huko wa shaghala baghala, kabla ya kuomba basi kuwe na kitabu kimoja na utamaduni maalum wa kuabudu.

Kabla yake kila mtu alikuwa anaenda kwa mtindo wake nyumba ya ibada mtaa moja na mtaa wa pili kila mtu kila mtu alikuwa anafanya Ibada kwa mtindo wake, mwenye kusujudu sawa na mwenye kupiga magoti sawa.

Unaelewa kwanini hizo dini tatu zinaitwa Abrahamic religions.

Niombe radhi kwa kuingilia mada yako. Iła kwa mitusi yako so far unaonekana sakapoko mmoja uliepigwa na maisha ambae una hasira za umaskini; you can’t get a health argument na mtu kama huyo.

👋
 
Umejuaje ushasoma historia ya kuandikwa kwa hivyo vitabu vya dini.

Hivi unajua huyo Constantine alikuta utamaduni huko kabla ya kuomba basi kuwe na kitabu kimoja na utamaduni maalum wa kuabudu.

Kabla yake kila mtu alikuwa anaenda kwa mtindo wake nyumba ya ibada mtaa moja na mtaa wa pili kila mtu kila mtu alikuwa anafanya kwa Ibada kwa mtindo wake, mwenye kusujudu sawa na mwenye kupiga magoti sawa.

Unaelewa kwanini hizo dini tatu zinaitwa Abrahamic religions.

Niombe radhi kwa kuongilia mada yako. Iła kwa mitusi yako so far unaonekana sakapoko mmoja uliepigwa na maisha ambae una hasira za umaskini; you can’t get a health argument na mtu kama huyo.

👋
Hujui kitu rafiki
"Ibrahim hakuwa Myahudi wala Mkristo, bali alikuwa mwongofu Muislamu, naye hakuwa miongoni mwa washirikina." (Surah Aal-e-Imran, 3:67)

Ibrahim alijenga Al-Kaaba pamoja na Ismail, na anatambuliwa kama mwanzilishi wa mila nyingi za Kiislamu, kama hija.
 
Nikupoteza muda inaoneka hujui hata dini gani ilikuwa ya kwanza kurasimisha kitabu chao, kulikuwa na versions ngapi, na hakina nani walikuwa wanachagua version zipi ziwekwe.

Not sure kama hata ushawahi sikia kuhusu ‘dead sea scrolls’.

Huko kwenye science na hiyo hadithi ya Sheikh wako hata nikikwambia time ni relative uwezi elewa ‘siku moja ya Venus inachukua muda mrefu (going into its rotation) kuliko Venus inavyozunguka jua’.

Milkway ina nyota zaidi ya billion moja nyingi uzioni bila ya powerful telescope, nyota unazoziona angani kwa macho yako ni kama 10% ya nyota zote zilizopo milkway, kwa ‘Drake Equation’ potential ya life Milkway tu ni kama 5% ya nyota (sasa chukulia nyota billion moja).

Milkway ni galaxy moja kati ya trillion, sasa kama hujui hata msingi wa vitabu vya dini tu, I dont have the time to discuss matters which require somewhat eclectic knowledge ya kusoma vitabu vya dini, religious archeology, normal archeology, history, philology, astrophysics na cosmology.

Wewe hujui lolote zaidi ya ujinga na matusi tu
 
Hujui kitu, hao unaongolea utafiti wamefanya miaka ya karibuni.
 
Nikupoteza muda inaoneka hujui hata dini gani ilikuwa ya kwanza kurasimisha kitabu chao, kulikuwa na versions ngapi, na hakina nani walikuwa wanachagua version zipi ziwekwe.

Not sure kama hata ushawahi sikia kuhusu ‘dead sea scrolls’.

Huko kwenye science na hiyo hadithi ya Sheikh wako hata nikikwambia time ni relative uwezi elewa ‘siku moja ya Venus inachukua muda mrefu (going into its rotation) kuliko Venus inavyozunguka jua’.

Milkway ina nyota zaidi ya billion moja nyingi uzioni bila ya powerful telescope, nyota unazoziona angani kwa macho yako ni kama 10% ya nyota zote zilizopo milkway, kwa ‘Drake Equation’ potential ya life Milkway tu ni kama 5% ya nyota.

Milkway ni galaxy moja kati ya trillion, sasa kama hujui hata msingi wa vitabu vya dini tu, I dont have the time to discuss matters which require somewhat eclectic knowledge ya kusoma vitabu vya dini, religious archeology, astrophysics na cosmology.

Wewe hujui lolote zaidi ya ujinga na matusi tu
Hujui kitu wewe. Wanasayansi walisema sisi binaadam ni asili kima. Unakubali hio?
 
Baki kwenye msingi wa mada unazoanzisha mwenyewe siku nyingine.

Binafsi nimeitikia wito kwa kumsikiliza huyo sheikh ulietuletea baada ya kuona walau kaingiza haya za dini na cosmooogy. Huo ndio nilitarajia uwe mwelekeo wa mada.

Sasa ukitaka majibizano ya evolution anzisha mada nyingine. Or else kama ni kuendeleza humu mimi sipo huko, sio msingi wa post yako kuu.
 
Hoja unaikosoa Quran iliokuja wakati dunia inaanza lkn unakomalia wanasayansi waliozaliwa juzi juzi na kuleta vioja vioja tu
 
Back
Top Bottom