Video: Emaciated Rutto needs a rest from routine duties

Video: Emaciated Rutto needs a rest from routine duties

Ukishakuwa Kiongozi harafu unaishi Kwa mihemko umekwisha au Kila unachosikia unataka ku take action aisee umekwisha..

Ndio maana nawapenda JK,Kenyatta na Samia Wala hawana mda wa kuhangaika na feelings na kutunishiana misuli au kusikiliza stori za watu..

Wao wako focused na kile wanachoamini full stop
 
Ana mambo mengi, nchi imefirisika, Kenya Airways, SGR zinavuja pesa, madeni, mikopo inakuwa ilipwe pesa hakuna za kulipa.

Mfumuko wa bei mandamano kila siku. Maisha magumu sana kwa wananchi. Lazima ukonde kama unajali.
 
Tatizo lake iingine anajifanya anaijuwa Kenya kuliko mtu yeyote. Anasahau kuwa na yeye wenzie wanamjua kuliko anavyowajuwa. Ana misimamo ya ajabu lakini misomamo haitamsaidia kitu, akubali tu ushirikiano na wapinzani ili nchi isonge mbele
 
Lazima akonde, kaunti zimesimama hazifanyi kazi na mfumuko wa Bei juu. Atakonda Sana tu.
 
Muhimu akubali kushirikiana na wapinzani. Haiingii akilini watu wanapata asilimia 45%-48% za kura wote unawaweka benchi. Hapo kunaweza kuwa na margin of error. Labda wenyewe ndio washindi. Busara ingetumika.

Husikilizi wala kuwapa nafasi serikalini. huu mfumo umepitwa na wakati. Africa inabidi wadau wote washirikishwe kwenye maamuzi, mipango na utekelezaji wa serikali. Tunahitaji mfumo mwingine.
 
Kenya pia walikosea kuifunga nchi wakati wa COVID, nchi ilikuwa imefungwa miaka miwili baada ya hapo, kampeni, uchaguzi, maandamano. Pia walichukua mikopo mingi ya COVID ambayo ilienda kwa viongozi wachache.

Kwahiyo shughuli nyingi za uzalishaji za kiuchumi zilisimama.
 
Acha akonde tu maana alijifanya mjuaji Sana,nchi imeshamshinda tayari Hakuna lolote la maana alilofanya tangu aingie madarakani.
 
Back
Top Bottom