Leo nikapanda bolt kutoka airport, kabla hatujaanza safari dereva akaingia kituo cha mafuta cha O-Lake airport, wakati wa kutoka naona traffic anaongoza magari na mengine anayakataa kukunja, kumbe anaongoza magari yanayoenda kujaza gesi kituo kwasababu yana kawaida ya kuziba barabara ya Mwl. Nyerere kutokana na urefu wa foleni.
Nimekadiria kwa google earth kutoka O-Lake mpaka kituo cha gesi ni zaidi ya mita 400, lakini ile foleni nyoka imezidi mita 500 na iko mistari mitatu na yapo magari yameshindwa kuingia kwenye foleni baada ya foleni hiyo kuingia barabarani, mstari ukinyooka kwa line moja unaitafuta km 2.
Your browser is not able to display this video.
Katika stori na dereva huyu anayepaki na kushinda Airport, anasema wapo madereva wanavizia saa 7 usiku kwenda kupanga foleni ila wanafanikiwa kujaza saa 11 alfajiri, aloo masaa manne hayo tena huo ni usiku.. naona ukiipanga rush hours uombe ruhusa kwa HR kwamba kazini hutafika na kama mfanyabiashara usiifungue😉
Anyways mwaka jana Tanzania iliagiza mafuta lita bilioni nne na ni bidhaa inayofilisi fedha za kigeni, kweli Serikali imefikia mwisho wa kufikiri kurahisisha upatikanaji wa gesi? Maeneo ya Jeshi wanakojenga vituo vya mafuta kwanini wasijenge vituo vya gesi kuwarahishia wananchi wake!
Hiyo ni hujuma ktk sekta ya gesi
kwa nini wasiweke vituo vingi na huduma nzuri kwa bei rahisi
uko ni kuwakatisha tamaa watumia gesi, kubadili mfumo uwe gesi ni gharama sasa hata ujazaji wa gesi iwe kikwazo. Jaman wahusika wapo wapi mbona hiyo ni fursa na wateja wapo tatizo huduma na mipango mibovu
Leo nikapanda bolt kutoka airport, kabla hatujaanza safari dereva akaingia kituo cha mafuta cha O-Lake airport, wakati wa kutoka naona traffic anaongoza magari na mengine anayakataa kukunja, kumbe anaongoza magari yanayoenda kujaza gesi kituo kwasababu yana kawaida ya kuziba barabara ya Mwl. Nyerere kutokana na urefu wa foleni.
Nimekadiria kwa google earth kutoka O-Lake mpaka kituo cha gesi ni zaidi ya mita 400, lakini ile foleni nyoka imezidi mita 500 na iko mistari mitatu na yapo magari yameshindwa kuingia kwenye foleni baada ya foleni hiyo kuingia barabarani, mstari ukinyooka kwa line moja unaitafuta km 2.
Katika stori na dereva huyu anayepaki na kushinda Airport, anasema wapo madereva wanavizia saa 7 usiku kwenda kupanga foleni ila wanafanikiwa kujaza saa 11 alfajiri, aloo masaa manne hayo tena huo ni usiku.. naona ukiipanga rush hours uombe ruhusa kwa HR kwamba kazini hutafika na kama mfanyabiashara usiifungue😉
Anyways mwaka jana Tanzania iliagiza mafuta lita bilioni nne na ni bidhaa inayofilisi fedha za kigeni, kweli Serikali imefikia mwisho wa kufikiri kurahisisha upatikanaji wa gesi? Maeneo ya Jeshi wanakojenga vituo vya mafuta kwanini wasijenge vituo vya gesi kuwarahisihia wananchi wake!

Sijajua kuna changamoto gani ya kuweka vituo vingi vya kuwekea gesi nchini? Labda wafanyabiashara wa mafuta wanafanya "saboteji" ili waendelee kupiga pesa navyoona.

Fo sho, kuna CARTEL inafanya hujuma ili vituo viwe vichache wenye vyombo vya moto wasichange mfumo wa mafuta kwenda gesi maana wataona SHAZI la FOLENI kubwa kwenye gesi.
Wafanyabiashara ambao wapo huwa akija mpinzani mpya huwa wanajioganaizi kumbana ili asiingie sokoni, ili nishawahi kulishuhudia kwenye biashara moja hivi na pia hata Dangote alivyokuja alipingwa(alibanwa) sana na viwanda vyetu hapa nchini.
Ujio wa gesi ni hatari sana kwa MaTYCOON wauza wese hivyo wanafanya kila njia Biashara ya gesi kwenye vyombo vya moto isitoboe....Na mbaya zaidi waliopo serikali wanaotoa maamuzi ndiyo hao hao wauza WESE pata picha ilivyo ngumu kutoa ruhusa ya ujenzi wa vituo vingi vya gesi.