Video: Frank Mwakajoka aaga kwa kishindo Tunduma

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Hakika kwenye uchaguzi wa 2020 kazi si nyepesi kama baadhi wanavyodhani, ukiangalia video hii utagundua kwamba hiki chama kinachoitwa Chadema kimeshindikana .

Pamoja na kudhulumiwa kila kitu kwa miaka mitano, ikiwemo kukamatwa na kubambikwa kila aina ya kesi lakini mkutano mmoja tu wa hadhara ni shida!
Your browser is not able to display this video.
 
Determination level ya watu wa Mbeya na Songwe si ya nchi hii. Kule CCM haitakiwi kabisaaaaaàa.
Wakija na mbinu zao za kuiba kura lazima kinuke
 
Cdm ni tunu kutoka kwa Mungu
 
Kwani Tunduma ilikuwa wapi kimaendeleo na Sasa iko wapi? Huenda unajua kuwa Tunduma iko Kilimanjaro, maana nyie magamba akili zenu zinaumizwa Sana na Wachagga
Mmmh
 
Jiandaeni maana mbwa koko tutawafanya kama alichostahili Chifu Koko tusubiri wakati wa kung'oa Nanga. Black is beauty and black is power
 
Mbeya wana akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…