Video: Furaha yatawala ujio wa wimbo mpya wa Harmonize na Rayvanny

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Mashabiki wa kiwanda cha BongoFleva wameshuhudia upendo uliotamalaki kati ya msanii Harmonize na Rayvanny, ambao wanatarajia kutoa wimbo wao mpya (Walioshirikiana) baada ya kuwa na ugomvi kwa muda mrefu.

Harmonize ameweka video kwenye mtandao wake wa IG akiwa na msanii mwenzie Rayvanny wakionekana wakicheka na kuteta kwa furaha jambo ambalo limepokelewa vizuri na mashabiki wao kwani wasanii hao hawakuwa na mahusiano mazuri kwa muda mrefu.

Credit - HabariMtandaoni
 
"music don't need permission to
enter your spirit
anywhere anyhow
I know you go
feel it"
Mohbad ft Chike_egwu
 
Kumbe walikuwa na ugomvi mkubwa? Hata sikuwa na habae
Mashabiki wa kiwanda cha BongoFleva wameshuhudia upendo uliotamalaki kati ya msanii Harmonize na Rayvanny, ambao wanatarajia kutoa wimbo wao mpya (Walioshirikiana) baada ya kuwa na ugomvi kwa muda mrefu.

Harmonize ameweka video kwenye mtandao wake wa IG akiwa na msanii mwenzie Rayvanny wakionekana wakicheka na kuteta kwa furaha jambo ambalo limepokelewa vizuri na mashabiki wao kwani wasanii hao hawakuwa na mahusiano mazuri kwa muda mrefu.

View attachment 3016441

Credit - HabariMtandaoni
 
Sisi tunasubiri “Humu tuuh” hizo nyimbo za kigasho hatusikilizi
Comment yangu isiguswe na watu wenye makasiriko puliiiiiiiizzz
 
Back
Top Bottom