Mashabiki wa kiwanda cha BongoFleva wameshuhudia upendo uliotamalaki kati ya msanii Harmonize na Rayvanny, ambao wanatarajia kutoa wimbo wao mpya (Walioshirikiana) baada ya kuwa na ugomvi kwa muda mrefu.
Harmonize ameweka video kwenye mtandao wake wa IG akiwa na msanii mwenzie Rayvanny wakionekana wakicheka na kuteta kwa furaha jambo ambalo limepokelewa vizuri na mashabiki wao kwani wasanii hao hawakuwa na mahusiano mazuri kwa muda mrefu.
View attachment 3016441
Credit - HabariMtandaoni