OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hapa hakuna cha uganga wala nini, tuseme tu wachezaji wa simba hasa wamaliziaji hawakuwa vizuri na walikuwa na pressure kubwa kutoka na kujiamini kupita kiasi.
Hahahaaaa et mganga semen tu iv wale wazee akina okwi na kagere hawana uwezo Wa kumfunga yanga
kwanini alimpiga na kwanini hakupata kadi ?Hasa ukizingatia walikuwa chini ya ulinzi was vijana wadogo under 20 yrs Paul Godfrey na Ninja, wacha mizee yao ikooe damu aisee, hadi mmoja kageuza uwanja wa ngumi, kampiga waziwazi Gadiel Michael, haki ya Mungu nilicheka sana Jana.