Hahahaa! Kwahiyo unaona manara kichwa sana kwenye dini, huyo manara alimpa Nandy 50mil ili amwimbie twiga wake ambae sasahivi kakimbia, hiyo 50m angeipeleka madras mwalimu angekuwa na maisha gani?Kwa hiyo wewe unamzidi manara kujua uislamu?!
Mwenzako alishakusa mkufunzi wa dini
Ww unaamini kabisa manara na milion 50 yakumpa nandy ili amuimbe demu wake?!Hahahaa! Kwahiyo unaona manara kichwa sana kwenye dini, huyo manara alimpa Nandy 50mil ili amwimbie twiga wake ambae sasahivi kakimbia, hiyo 50m angeipeleka madras mwalimu angekuwa na maisha gani?
Pengine Sio Tone nzuri ya kubembeleza lakini kwa jambo hili naamini nilikuwa sahihi!
Haiwezekani tusifiane Wafanyabiashara wengi ni Waislaam kisha Maimamu wengi wanaotuswalishia Miskiti yetu na Waalimu wanaotufundishia Watoto wetu elimu ya dini wawe omba omba na malofa!!
Tufikirie sasa kutengeneza mifumo sahihi itakayoondoa kabisa hili tatizo kwa jamii yetu!!
Mtu akiwa Imaam au Ustaadh wa Madrasa licha ya kulipwa malipo mema na Allah lakini tuwalipe vizuri ili kazi wanayoifanya iwe na thamani duniani na akhera Insha'Allah 🙏🙏
Nb: Msisahau tukifa hawa tunaowadharau hv sasa ndio wanaotustiri kwa kutuosha na kutuweka Makaburini
Ndugu Midekoo Kama nilivosema awali mimi nipo upande wa kukazia tuSadaka zinatakiwa za kuendeshea misikti sio kulipwa hao mashekhe,
Mashekhe wakatafute kazi za kufanya uzuri kwenye uislamu yoyote anaruhusiwa kuendesha swala hataa kama ni mtoto mdogo ukifika muda wa ibaada hakuna aliye wekwa alama lazima awepo yeye ndio mambo yaende kama upande wa pili..
Isipokuwa swala za jamaa.
mimi naendelea kukazia mkuu waumini waongeze nguvu kutoa sadaka. i know what am saying (hisani ya mkoloni)
mimi nipo upande wa kukazia tu
Ni kweli Wafanyaniashara wengi ni Waislam ila ni Waarab, Wapemba Wahindi/Wapakistani na Wabangladesh. Hawa hawapendi mashirikiano na Waswahili, hata misikiti yao ya Upanga Maimam ni wao wenyewe
Washahili bado ni wagonga nyundo tu wakimiliki vigenge hapa na pale