Video: Hakika CHADEMA imekufa na huko Iringa Msigwa ajiandae kuachia Jimbo

tume ingekuwa huru Magu anapigwa chini saa 4 asubuhi tu
Mtabaki kwenye ujinga wenu tuu! Chama mvuruge wenyewe msingizie tume! Endeleeni na konyagi tuu! Tuliwaamini sana na kushiriki shughuli za kukuza chama lakini mwisho kumbe ni upuuzi mtupu.
 
Mbna umepaniki?relax
Mtabaki kwenye ujinga wenu tuu! Chama mvuruge wenyewe msingizie tume! Endeleeni na konyagi tuu! Tuliwaamini sana na kushiriki shughuli za kukuza chama lakini mwisho kumbe ni upuuzi mtupu.
 
Sawasawa ndomana chama chakavu kimewekeza kwa wajinga na imefanikiwa vya kutosha katika hilo.
Hakuna panic hata kidogo ndugu, ujinga ni ujinga tuu hauna namna ya kuulemba isipokuwa kuusaka ufahamu na kufuta ujinga basi.
 
Khaaa, sasa hapo hata mwalimu mkuu wa primary anaweza kuwakusanya zaidi ya hao akiitisha kikao cha wazazi
 
Msigwa atamshinda Pierre kwa kura nyingi sana lkn hatuna hofu wahehe tunawajua hawafanani kwa kila kitu na wakurwa so ni kitendo cha kusambaza polisi mji mzima then mkurugenzi anamtangaza Pierre kashinda, kazi shila!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…