Video: Hali ilivyo kanisani kwa Askofu Gwajima licha ya kanisa kufungwa

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima(Glory Of Christ Tanzania Church) wameonekana kuendelea kuwa na ari kubwa ya kuimba na kufanya maombi huku wakitaja jina la "Yesu" na wengine wakifanya maombi hata baada ya kukamatwa na kuwekwa kwenye magari ya Jeshi la Polisi.

Waumini hao wamekamatwa baada ya jeshi hilo kuwadhibiti na kuwatawanya kwa kutumia mabomu ya machozi.



Your browser is not able to display this video.
 
Ina maana makanisa ayana umoja kweli au maoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…