ChekoFagia Senior Member Joined Sep 20, 2025 Posts 115 Reaction score 339 Dec 9, 2025 #1 Hii ndiyo hali ya mitaa mbalimbali ya Manispaa ya Kahama kama unavyoona pichani. Baadhi ya watu wameendelea na shughuli zao kama kawaida huku idadi kubwa ya biashara zikiwa zimefungwa, Vikosi vya ulinzi vimetanda kuimarisha usalama. Your browser is not able to display this video.
Hii ndiyo hali ya mitaa mbalimbali ya Manispaa ya Kahama kama unavyoona pichani. Baadhi ya watu wameendelea na shughuli zao kama kawaida huku idadi kubwa ya biashara zikiwa zimefungwa, Vikosi vya ulinzi vimetanda kuimarisha usalama. Your browser is not able to display this video.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Dec 9, 2025 #2 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw