Video: Hali yazidi kuwa tete barabara ya Juja Rd waandamanaji wakizidi nguvu ya Polisi

Kenyan

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2012
Posts
414
Reaction score
314
Hiki ndicho kinachoendelea huko Mathare, Barabara ya Juja Rd muda huu.

Ikumbukwe Polisi wamefanikiwa kuwazuia waandamanaji kuingia kati kati ja Jiji lakini Hali ni tete katika maeneo mengi yaliyoko takriban dakika 25 - 30 kutoka kati kati ya Jiji.

Aidha vyombo vingi vya habari vimeonekana kutorusha mubashara maandamano ya leo. Haijabainika wazi iwapo ni onyo kutoka kwa Serikali, hatahivyo Muungano wa Azimio kupitia akaunti yake ya Facebook waliyoipa jina Azimio Tv inarusha mubashara msafara wa Odinga.

Mpaka kufikia sasa Kiongozi huyo wa Upinzani hajapata fursa ya kuhutubia wafuasi wake.
Your browser is not able to display this video.
 
Naomba kujua mwananchi wa Kenya! Hivi Raila anataka nini hasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…