Video: Harmonize hajui kuimba Kiingereza

Video: Harmonize hajui kuimba Kiingereza

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Hayo sio maneno yangu bali ni maneno ya Producer mkongwe wa muziki wa BongoFleva nchini Master Jay.

ANGALIA VIDEO HAPA


Je ni kweli Harmonize hajui kuimba kwa Lugha Kiingereza?

Written by Mjanja M1 ✍️
 
Kwenye huu wimbo wake bora angeimba kiswahili
 
Kwamba mzungu akikosea kiswahili ni sawa ila mswahili akigonga broken ni nongwa.
Ok
Nimependa huo ushauri wake, kama una mistari yako ya kiengereza mtafute japo ras simba aifanyie uhakiki kabla hujaiachia mbele ya hadhira
 
wazungu wanatuelewa,ila watzungu sasa😂😂😂
 
Back
Top Bottom