Video Hasheem Thabit ejected from Summer League Game

Logikos

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
15,460
Reaction score
24,233
Hii nimeiona hapa

Video: Hasheem Thabeet Thrown Out Of Summer League Game Against Wizards

Hivi kuna wenye news kuhusu huyu Balozi wetu huko, Inabidi tumuombee mambo yakae vizuri ni role model wa vijana wengi sana

 
poor thing alijiona ameshafika so he is back to square one.
 
It was just some technical fouls that ejected him, game iliyofata amecheza.

Hope atapata timu this coming season, probably Detroit watamchukua.
 
Huyu Jamaa ni Kubwa JING alitukana waliomsaidia kawaacha wananung'unika bora aombe mshamaha tu bweg sana huyu dogo... mimi nilimsikia one akiponda na kusema hakuna mtanzania aliyemsaidia kufika huko alipo... bulshait wadau wakanung'unika basi jamaa ndio akawa boflo hadi leo hii
 
Labda Nyalando anaweza akamtoa na ubalozi wa tembo....kweli kutesa kwa zamu alitesa sana 2009-2011 nakumbuka ndio anarudi bongo kwa mara ya kwanza 2009 mwishoni alikaribishwa xxl clouds akachagua tracks mbili moja ilikuwa Jeremiah-I thought I told you(Imma star) na Shop Boys ft Lil Wayne-Rock Star acha ulikiwa full kupigwa fimbo kiswahili kashasahau,haijapita miezi kadhaa Dina marios akamuinterview mama yake hasheem Kuna swali akamuuliza sasa Hivi unaendesha Gari gani? Mother yake akajibu Range Rover Vogue Daa ni soo..#kutesa_kwa_zamu .
 

Mkuu umeelezea kwa hasira
 
Age imeenda pia wakati wa mapumziko ya ligi yeye anakula bata badala ya kujifua awe fiti apate namba akacheze uturuki sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…