Hiyo SADC ndio mpo hoi maana hata lugha ya kuwasiliana nao ni majanga, nafuu Kenya mnaelewana na sisi kwa Kiswahili. Huwa mnazamia South kinyemela na kuhangaika sana huko.
Ona huo mtaa wa makazi duni maskini na wajinga ni wengi pale .Charity begins at home go and care about improving those slums before you think of SADC countries sababu SADC countries hawamo kiwango yenu ya umaskini hivi.