Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
South korea na Japan au bruneiAsia ipi unazungumzia ambayo mtu anaweza kutoka bongo kwendea kuishi?
Huyo ndo shemeji yetu atiii??? Safii!
unauliza jibu wewe?Huyo ndo shemeji yetu atiii??? Safii!
Oyaa hapo kwake, ukiamka ubakutana na mlima wa theluji mlangoni au imefunika gari ili utoke lazima uondoe hio.Kama hapo shilingi ngapi hivi unalipwa?
Upuuzi wa maisha ya bongo na incompetent anaita maisha matamu.
Aisee...
Ushauri mzuri.
Nikajua part-time job bwana.Oyaa hapo kwake, ukiamka ubakutana na mlima wa theluji mlangoni au imefunika gari ili utoke lazima uondoe hio.
Huko si ndiko kumeendelea kwanini zisishirikishwe mashine