Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Bwashee siku hizi umekuwa muoga sana kutoa taarifa kamili!
nini kinaendelea mjini ?Naombeni connection tafadhali.
Unforgetable
Mkuu si ukamuulize kigogo?Wadau,kuna video inasambaa huko mitandaoni ikionyesha wahudumu wa afya wakitoa mw
Ulitaka niseme nini cha zaidi?Bwashee siku hizi umekuwa muoga sana kutoa taarifa kamili!
Yeye yuko zake lockdown huko chato wengine pigeni kazi![emoji2211][emoji2211][emoji2211]
KajinyeaWadau,kuna video inasambaa huko mitandaoni ikionyesha wahudumu wa afya katika mtaa unaotajwa ni mtaa wa Nkuruma street katika ya jiji asubuhi hii wakitoa kinachoonekana ni mwili wa mtu huku wakiwa wamevaa gloves na mavazi maalumu ya kuwakinga na maambukizi.
Swali:kuna nini kimetokea kwa anaejua?
Unadhani serikali haitujui kisa fake id?Ulitaka niseme nini cha zaidi?
Hata hiyo video nimeiondoa kwasababu ya sheria za JamiiForums kutoruhusu hotlinking.
We mwenyewe hapo tukuulize kwanini unatumia fake ID?