Video:Hii ndio safari ya diamond platinumz nchini uingereza utafikiri ziara ya raisi noma sana!!

Ibrahim augustine

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2017
Posts
428
Reaction score
576
Infact huyu dogo anajitahidi sana kupambana wanao mchikia na kujifanya team kiba
Hawana lolote Mimi nawapenda wote
 
Infact huyu dogo anajitahidi sana kupambana wanao mchikia na kujifanya team kiba
Hawana lolote Mimi nawapenda wote
Ushamba wako ndiyo unakufanya useme unayosema. Umewahi kusafiri nje ya Bongo? Jibu ni bado ndiyo maana unashangaa hata wahudumu wa ndege anapopokea abiria wakati wa boarding
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…