sa inabd ww u2ambie ukwl kwmb uliyemtazama n ngwair ama siye c 2tajuaje wkt ha2jaiona?labda km ungeiweka hp.Nilikua maeneo flani hivi;nikakuta jamaa wamekusanyka wakitazama video moja ya mtu akipasuliwa tumboni akitolewa dawa za kulevya eti ikisemekana ni ngwair;jamani nani mwingine kaiona video hii,nasikia inasambazwa katika mtandao wa watsup.Naomba anaye jua ufeki au uhalisia wa video hiyo atudadafulie hapa;maana nilivyo itazama nikaishiwa nguvu INATISHA BALAA.
Iweke yutyubu tuone.
tupia humu tuone uwongo wa wabongohii video nnayo toka january sasa huyo ni ngwair wa wapi mnaemzungumzia?
hii video nnayo toka january sasa huyo ni ngwair wa wapi mnaemzungumzia?
Nimeiona nami. Lakini
naamini si Ngwea yule. Ila inatisha. Matumbo kuleee pipi kuleee.
Binadamu ni mchafu balaa tumboni, sijui kwanini baadhi wanakuaga na pozi
ilhali sote tu takataka tupu kiasilia.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Nitumie mie mkuu!Mimi ninayo hiyo Video, na nipo tayari kumtumia yeyote yule anayeitaka. Ni_PM ili ujipatie video hiyo Buree.
Mimi ninayo hiyo Video, na nipo tayari kumtumia yeyote yule anayeitaka. Ni_PM ili ujipatie video hiyo Buree.
fanya fasta nitumie na miyeee!Mimi ninayo hiyo Video, na nipo tayari kumtumia yeyote yule anayeitaka. Ni_PM ili ujipatie video hiyo Buree.