VIDEO: Hili somo la David Kafulila sasa naona limeeleweka kwa Watanzania

Hii ni ishara kwamba ujumbe wake umeingia mioyoni mwa wananchi na umegeuka kuwa hamasa ya kiuchumi na kijamii yenye nguvu kwa Taifa.

14 August 2026

MAUMIVU MAKALI SEKTA YA KILIMO

David Kafulila Mtendaji Mkuu Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi.Alipofafanua kilichofanyiwa Utafiti na Taasisi ya REPOA

View: https://m.youtube.com/watch?v=qEwoN24ggG0Source : Mjengwa digital
 
Ni kweli kazi yake ni kubwa sana
 
Sijasoma yote na sitaki ku dig sana hicho Kafulila anachosimamia, lla nimeona mnam hype sana, nafasi yake awamu iliyopita aliwekwa nani?? Huyo aliyepita hakuwa na performance nzuri kushinda kafulila??. Tangia tumsikie Kafulila amesha deliver (outcome) yoyote au he is good in presentation ( maneno tupu?) Hapo ndio mnatakiwa MJIULIZE
 
Maswali mazuri
 
well done brother
 
Limeeleweka sana tu
 
Namkubali sana huyu father
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…