SI KWELI Video hizi za watu kuokota simu za Iphone huko iran ni halisi?

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Source #1
View Source #1
Wakuu kumekuwa na wimbi la video zinazodaiwa kuwa ni watu wanaokota Iphone kufuatia kuzama kwa meli huko kwenye mfereji wa Harmourz. Lakini je, zote ni sahihi?

Your browser is not able to display this video.


 
Tunachokijua
Oktoba 14, 2026 Meli ya GFS Pride iliyokuwa imebeba Pafyumu, simu za Iphone pamoja na mizigo minine ilizama kwenye mfereji wa Hormuz. Meli hiyo ilikuwa na bendera ya SIngapore.

Malmlaka za Singapore zenyewe ambapo meli hiyoilikuwa na bendera yao ilisema kuwa meli hiyo ilizama kufuatia kuzuka kwa moto ndani ya chombo hicho, lakini wahudumu wote 21, walitolewa salama.

The Telegraph ilichapisha kuwa Jeshi la Wanamaji la Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu cha Iran (IRGC) lilisema kuwa meli hiyo ilikuwa imepotea na kuingia katika njia ambayo haikuwa imeidhinishwa na ilikuwa hatari, kisha ikagonga bomu la baharini na kusababisha moto mkubwa ulioizamisha meli hiyo ikiwa na makontena zaidi ya 2,500.

Picha kusambaa

Mara baada ya tukio hilo picha na video mbalimbali zilisambaa kuonesha bidhaa hizo zikielea. Baadhi ya maudhui hayo yalikuwa ya kweli lakini baadhi ya picha na video zilitengenezwa kwa kutumia teknolojia ya Akili Unde ili kuchangamza zaidi.
Sujui kama Kuna simu kwel ziliokotwa, ila kama hiyo video uliyoweka hapo juu ni AI, angalia movements za hao watu wala hawaeleweki wanakwen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…