Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Kuna video za wahamiaji na vijana kutoka Palestina nimekutana nazo mtandaoni leo zimenipa maswali sana kuhusu hatma ya mgogoro huo unaendelea huko Middle East.
Kuna umbali wa takriban Km 12.5 kutoka Gaza mpaka kufika Egypt. Egypt na Palestina ni nchi zilizo karibu sana ni kama Kenya na Tanzania. Lakini kwanini Egypt haichukui wakimbizi kutoka Gaza na Palestina?
Kama mtakavyoona kwenye video, Egypt imejenga ukuta mkubwa sana wenye nyaya za umeme ambazo zinazuia wakimbizi kutoka Palestina kuingia kwenye nchi hiyo. Swali ni kwanini?
Na hiyo sio kwa Egypt tu, hata nchi nyingi za Kiarabu hazichukui refugees kutoka Palestina.
Kwanini hawawataki hawa Wapalestina. Wana shinda gani?