Video hizi zinafikirisha sana! Hivi ni kwanini Egypt na nchi nyingine 57 za Kiarabu hazitaki kuchukua wakimbizi kutoka Palestina?

ni wakorofi sana wapelestina.
 
Unafiki unafiki unafiki waarabu wanafiki sana.
 
Unafiki unafiki unafiki waarabu wanafiki sana.
ugomvi wangu na waarabu ni mindset yao kutuchukulia kama watumwa. sio poa dada zetu wa kazi wanateseka uarabuni acha tu. mpaka najiuliza ile kauli mwislamu amtazame mwislamu mwenzake kama ni ndugu wao hawafundishwi huko madarasa? nipo kwenye group la wadada wafanyakazi Gulf stori zao zinaumiza sana shida wanazopitia.
 
Case closed, hao jamaa wanaogopwa kwa tabia yao wakikaribishwa nchi za watu baadae wakishajaa jaa na wanajaa kweli huwa wanaanza kuleta itikadi zao ikiws wako katika hali ya ugeni hiyo ndio sababu kubwa sana ya watu kutokuwataka hao
 
Kabisa mkuu, Misri inafahamu fika ikiwaruhusu hao Wapalestina waingie Sinai, Israel itatwaa ardhi yao huko Gaza na haitawaruhusi warejee tena kamwe.
 
Wapalestina Waliwahi kupewa hifadhi nchini Jordan mwaka 1970 baada ya kupigwa na Israel.

Cha ajabu baada ya muda wakiwa hapo Jordan wakataka kumpindua Mfalme wa Jordan, King Hussein... ambaye mwanzo ndiye aliwakirimu na kuwakaribisha.

Tukio hili huitwa The BLACK SEPTEMBER. Just google Black September utaona kila kitu.
 
Case closed, hao jamaa wanaogopwa kwa tabia yao wakikaribishwa nchi za watu baadae wakishajaa jaa na wanajaa kweli huwa wanaanza kuleta itikadi zao ikiws wako katika hali ya ugeni hiyo ndio sababu kubwa sana ya watu kutokuwataka hao
Uko Sahihi wapalestina ni kizazi cha laana kinachozidi vizazi vyovyote vilivyolaaniwa duniani popote wakiwepo wapakestina nchi ijiandae kwa shida ya ugaidi iwe ya kiislamu au Kikristo
 
Wapalestina walichokifanya huko Jordan na Lebanon mbona kinajulikana.
 
Wengi huwawajui wapalestina nchi za kiislamu za kiarabu nyingi hawawataki hata kuwasikia wanawajua ni tatizo kubwa mno ukiwachekea na kuwapa hifadhi watajachokufanya utamtafuta Allah huko aliko

Ndio maana wakidundwa nchi nyingi za kiislamu hufunga mipaka wasivuke wafie mbali huko huko Palestine huku wakishangilia kimoyomoyo kuwa ua wote hadi vitoto vyao damu nuksi hiyo
 
Mkuu ni asili yao.
Mbona kuna mataifa kama Indonesia,Malaysia ni Indo-chinese na hawana ubaguzi kama huo!??
Ni asili ya kiarabu iko primitive mkuu.
 
Wanazaliana kama Panya,ukiwakaribisha Wapalestina 1 million baada ya miaka 5 utawakuta wapo 7 million.

Ikiwa idadi ya watu wako labda 2 million wanawatawala.

Itazame Lebanon 🇱🇧
 
Furaha kubwa WAISLAM hawana umoja
 
Waarabu hawana utu. Wana unyama sana na hawaaminiani kabisa. Hawa utakuta wanakimbilia nchi za kikafir na si nchi za Mnyaazi mungu. Huwa sipendi hili jambo makafir kuonekana ndo wana msaasa kwa waja
 
Waarabu wana ujinga wakikaribishwa sehemu baadaye wanaanza kutaka wawe wao ndo wananchi kuliko wenzao. Kisha huanza fujo na mauaji. Angalia kilichotokea Ujerumani.
 
Wanaogopa huwa hawataki kurudi tena Palestine wakipewa hifadhi na huunda makundi ya kigaidi dhidi ya nchi iliyowapokea
Wanajua kilichowapata Jordan enzi za Yasser Arrafat maana jamaa walitaka kuipindua sarikali ya Jordan alipata shida sana kuja kuwatoa ndo wakakimbilia lebanon na huko wakaharibu
 
Elewa kuwa wapalestina hawataki kuondoka palestina kwani wakiondoka hawaruhusiwi kurudi na nchi zote za kiarabu zinajua njama ya israel ya kutaka kuwafukuza wapalestina ili wao wapore ardhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…