Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Nimekutana na hii video clip ya Mjumbe Wa Baraza Kuu La Umoja Vijana Wa CCM Taifa Victor Makundi akizungumzia ajenda ya No Reform No Election ya Tundu Lissu.
Kijana mdogo kama huyu anapata wapi nguvu ya kuiita CHADEMA chama cha Kicoba? Confidence hii anatoa wapi?
===========================================================
Mjumbe Wa Baraza Kuu La Umoja Vijana Wa CCM Taifa Ndug. Victor Makundi amezungumza na vijana wa UVCCM Katika Kambi Maalumu la Vijana Mkoani Kilimanjaro.
Ndug.Mbaraza amewasihi Vijana kuilinda Katiba ya Nchi Yetu, Hasa katika kipindi Hiki tunapoelekea Uchaguzi Mkuu, amesema hayo ikizingatiwa kwamba hivi karibuni Mwenyekiti Wa Chadema Tundu Lissu alitoa matamko ya kutaka kuvunja matakwa ya Katiba Katika Taifa letu ambayo yanahamasisha kuvuruga Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu.
Mbaraza Amewataka Vijana kuhakikisha wanatekeleza Wajibu Wao Wa kutokuvurugwa na Wasaliti Hawa katika Taifa Letu.
Aidha Ndugu Mbaraza Amemuonya Tundu Lissu Lissu na Genge Lake Ya kwamba Swala La Uchaguzi Ni swala la lazima na la kikatiba katika Taifa letu na si takwa la kifamilia, Hivo Uchaguzi Mkuu Wa Mwaka huu Utafanyika.