Nimekutana na hii video clip ya Mjumbe Wa Baraza Kuu La Umoja Vijana Wa CCM Taifa Victor Makundi akizungumzia ajenda ya No Reform No Election ya Tundu Lissu.
Kijana mdogo kama huyu anapata wapi nguvu ya kuiita CHADEMA chama cha Kicoba? Confidence hii anatoa wapi?
Mjumbe Wa Baraza Kuu La Umoja Vijana Wa CCM Taifa Ndug. Victor Makundi amezungumza na vijana wa UVCCM Katika Kambi Maalumu la Vijana Mkoani Kilimanjaro.
Ndug.Mbaraza amewasihi Vijana kuilinda Katiba ya Nchi Yetu, Hasa katika kipindi Hiki tunapoelekea Uchaguzi Mkuu, amesema hayo ikizingatiwa kwamba hivi karibuni Mwenyekiti Wa Chadema Tundu Lissu alitoa matamko ya kutaka kuvunja matakwa ya Katiba Katika Taifa letu ambayo yanahamasisha kuvuruga Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu.
Mbaraza Amewataka Vijana kuhakikisha wanatekeleza Wajibu Wao Wa kutokuvurugwa na Wasaliti Hawa katika Taifa Letu.
Aidha Ndugu Mbaraza Amemuonya Tundu Lissu Lissu na Genge Lake Ya kwamba Swala La Uchaguzi Ni swala la lazima na la kikatiba katika Taifa letu na si takwa la kifamilia, Hivo Uchaguzi Mkuu Wa Mwaka huu Utafanyika.

Ccm msiumie sana uchaguzi ni hiyari siyo lazima kwa wananchi. Ccm msilielie sana uchaguzi mtafanya na huyo mama yenu. Watanzania tumechoka kutawaliwa na maras ambao hatuwachagui sisi wenyewe. Wajinga nyie

CHADEMA kutokushiriki uchaguzi kuta waathiri wao wenyewe kuliko chama kingine. Lengo lao lingetakiwa kuwa na wawakilishi bungeni ambao wange wasaidia kuwasilisha hoja zao endapo mchakato wa kupata katiba mpya au kurekebisha Sheria ya tume ya uchaguzi utaidhinishwa. Ubabe wanao onyesha hauonyeshi nia ya wao kurekebisha mapungufu yaliyopo. Endapo katiba mpya itapita basi itakuwa imejadiliwa na bunge la chama kimoja tu. Inabidi CHADEMA wa compromise kuingia kwenye uchaguzi huu kwa manufaa ya Chama chao na kurekebisha hali ya siasa nchini
Nimekutana na hii video clip ya Mjumbe Wa Baraza Kuu La Umoja Vijana Wa CCM Taifa Victor Makundi akizungumzia ajenda ya No Reform No Election ya Tundu Lissu.
Kijana mdogo kama huyu anapata wapi nguvu ya kuiita CHADEMA chama cha Kicoba? Confidence hii anatoa wapi?
Mjumbe Wa Baraza Kuu La Umoja Vijana Wa CCM Taifa Ndug. Victor Makundi amezungumza na vijana wa UVCCM Katika Kambi Maalumu la Vijana Mkoani Kilimanjaro.
Ndug.Mbaraza amewasihi Vijana kuilinda Katiba ya Nchi Yetu, Hasa katika kipindi Hiki tunapoelekea Uchaguzi Mkuu, amesema hayo ikizingatiwa kwamba hivi karibuni Mwenyekiti Wa Chadema Tundu Lissu alitoa matamko ya kutaka kuvunja matakwa ya Katiba Katika Taifa letu ambayo yanahamasisha kuvuruga Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu.
Mbaraza Amewataka Vijana kuhakikisha wanatekeleza Wajibu Wao Wa kutokuvurugwa na Wasaliti Hawa katika Taifa Letu.
Aidha Ndugu Mbaraza Amemuonya Tundu Lissu Lissu na Genge Lake Ya kwamba Swala La Uchaguzi Ni swala la lazima na la kikatiba katika Taifa letu na si takwa la kifamilia, Hivo Uchaguzi Mkuu Wa Mwaka huu Utafanyika.
Sehemu kubwa ya failure ya elimu yetu ni pamoja na kutowajengea vijana uwezo wa kujibu hoja kwa hoja, badala yake wanajibu hoja kwa mipasho. Kama nchi ni yetu sote, basi tuweke utaratibu mzuri wa kila mtu kushiriki kwenye masuala ya kitaifa bila vitisho, upendeleo na kwa uwazi usiotia mashaka kwa yoyote. Hebu jibuni hoja za Lissu kwa hoja sahihi badala ya makofi na kelele bila kutafakari kwa umakini undani wa hoja zake