Video: Huyu mwamba aliwakosea nini hawa mabinti?

Video: Huyu mwamba aliwakosea nini hawa mabinti?

Hivi unazidiwaje na hawa viumbe wanne tu au aliamua kuwaacha waampe kichapo.
 
Aliwahadaa akajisahaulisha kumbe wanamlia timining .... hicho kichapo ukipata upenyo unatoka ndukiii

halafu kuna siku mmoja wapo atakapokosa mwelekeo atarudi kumwomba msamaha mwambaa ili waishi pamoja
 
Back
Top Bottom