Video: huyu mwanamke alikua amedhamiria ku uwa mwenzake tujifunze kitu hapa na tuwaepuka watu wa aina hii

Video: huyu mwanamke alikua amedhamiria ku uwa mwenzake tujifunze kitu hapa na tuwaepuka watu wa aina hii

Wajinga hao. Ndio sababu sipendagi masihara ya kitoto toto barabarani.
 
Cheka tu rafiki sababu najiwazia siku ile [emoji12] [emoji12] nilivyobakiwa na MB zangu 50 ulinicheka sana yaani. Lol

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cheka tu rafiki sababu najiwazia siku ile [emoji12] [emoji12] nilivyobakiwa na MB zangu 50 ulinicheka sana yaani. Lol

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahah!! Ndio hapo sasa alafu hukomi tu, na kuna sehemu nimekuita uje utuangalizie video nyingine
 
Na itakuwa yule aliyemsukuma mwenzie hakudhani kama kuna gari ipo karibu.

Ukisikia matani ya kijinga ndio yale
Unaonekana umekasirika sana na kitendo cha kwenye video.

Kunywa juisi ya miwa, na usisahau kusubscribe
 
Utani gani wa namna hiyom...kama ni mimi nikiamka namtia vitasa vya maana tu na kama urafiki bora uishie hapo hapo.
 
Wanawake ni hewa kama hewa zingine gu
Unamaanisha nini?

Kwani hakuna wanaume wabaya kushinda hata hao wanawake...??

Afu umekosea mkuu ...ungesema wanawake ni hewa.....kasoro mama yako mzazi!

Au umlikusudia mpaka yeye?
 
Yale si matani........ Mtendwa ajiongeze.... Alikusudia kuua kakosea timing kidogo tu!
 
Back
Top Bottom