Ibrahim augustine
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 428
- 576
Na itakuwa yule aliyemsukuma mwenzie hakudhani kama kuna gari ipo karibu.Duuh hatari sana huyo dem nimjinga aise
Kumbe mwenzangu una bando? Basi utanihadisia na mimiWajinga hao. Ndio sababu sipendagi masihara ya kitoto toto barabarani.
Hahahaaaaaa. Jamaani. [emoji85] [emoji85] .Kumbe mwenzangu una bando? Basi utanihadisia na mimi
Hahah!Hahahaaaaaa. Jamaani. [emoji85] [emoji85] .
Cheka tu rafiki sababu najiwazia siku ile [emoji12] [emoji12] nilivyobakiwa na MB zangu 50 ulinicheka sana yaani. LolHahah!
Hahah!! Ndio hapo sasa alafu hukomi tu, na kuna sehemu nimekuita uje utuangalizie video nyingineCheka tu rafiki sababu najiwazia siku ile [emoji12] [emoji12] nilivyobakiwa na MB zangu 50 ulinicheka sana yaani. Lol
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahaaaa. Huko zamu yako sasa. [emoji12]Hahah!! Ndio hapo sasa alafu hukomi tu, na kuna sehemu nimekuita uje utuangalizie video nyingine
Unaonekana umekasirika sana na kitendo cha kwenye video.Na itakuwa yule aliyemsukuma mwenzie hakudhani kama kuna gari ipo karibu.
Ukisikia matani ya kijinga ndio yale
Hahaaa. Nimekasirika sana yaani. Vp wewe Mkuu umefurahi?Unaonekana umekasirika sana na kitendo cha kwenye video.
Kunywa juisi ya miwa, na usisahau kusubscribe
Hahaha hata sijaangalia Davet kashasema hatuna MBHahaaa. Nimekasirika sana yaani. Vp wewe Mkuu umefurahi?
Hahahaaa. Lol. Ila umejua kujiongeza aki vile.Hahaha hata sijaangalia Davet kashasema hatuna MB
Unamaanisha nini?Wanawake ni hewa kama hewa zingine gu