Mkuu huyo dada kazi yake ni kuigiza,kwahiyo mara nyingi yupo location[emoji38]Mh hiyo saut ya wema
Madawa yepi tenahuyu wema mbona kawa hivyo ata wanaosema anatumia madawa inawezekana ikawa kweli
You are missed.huyu wema mbona kawa hivyo ata wanaosema anatumia madawa inawezekana ikawa kweli
Hii ilitokea juzi wakati wa fiesta ambapo mwandishi akiwa anamhoji Wema Sepetu, Idris aliyekuwa pembeni aliteleza kama maji na kutokomea kusikojulikana!Hali hiyo ilimuacha mlimbwende Wema kwenye taharuki na kupigwa mshangao hata kujibu maswali kwa wasiwasi...Jionee mwenyewe.
anazeeka vibaya huyu maria salomeHii ilitokea juzi wakati wa fiesta ambapo mwandishi akiwa anamhoji Wema Sepetu, Idris aliyekuwa pembeni aliteleza kama maji na kutokomea kusikojulikana!Hali hiyo ilimuacha mlimbwende Wema kwenye taharuki na kupigwa mshangao hata kujibu maswali kwa wasiwasi...Jionee mwenyewe.
thnx Rogie, miss u moreeYou are missed.
wanayaita et madawa ya kulevyaMadawa yepi tena
Nasikia anakula mjani siku hizi, a.k.a mmea wa taifaanazeeka vibaya huyu maria salome