Video Ile ya yaya nimeipeleka Polisi.

Video Ile ya yaya nimeipeleka Polisi.

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Ile video iliyokuwepo hapa two hours ago ya yule yaya anamtesa toddler nimeipeleka Polisi.

Polisi wameonyesha interest lakini wanasema Afande amekwenda weekend,nirudi Jumatatu.
 
Watakuelewa wale ambao wanajua hiyo video, ukiandika uzi wa muendelezo, basi weka link ya uzi wa kwanza ili watu wajue chanzo kuounguza maswali.
 
Ile video nimeidownload lakini nashindwa kuiweka hapa kwa sababu I am computer illiterate.
Lakini kwa ambao hawakuiona, ilikuwa video ya dada wa kazi yupo bafuni ana- shit right on head of a little toddler sitting beneath her.
Shitting on the head of kid, halafu spreading the shit all over the baby.
Jambo la kwanza unalojiuliza,is it a fake video?
Halafu Ile video nimeituma Facebook.
Facebook wamekasirika wameni- ban mpaka siku ya Christmas kuanzia leo mpaka Christmas nisitume post Facebook.
 
Lakini wana haki ya ku ban hiyo video na wewe pia
Sababu ya kwanza sio nzuri kuionyesha na pili huyo ni mtoto wa mtu na ipo siku atauwa mkubwa na kuwa na maisha yake ila historia haitamuacha
Sasa wewe unaona ni vizuri isambae au ifike mahali husika na waweze kuishughulikia?
Tujifunze kuwa na stara sana
Hata ungeipiga screenshot ya huyo yaya na maelezo yangetosha sana
 
Facebook wameni- ban mpaka Nov. 26.
I can almost swear niliona Dec.23 pale.
I think Facebook have changed their mind.
Naona you are complaining.
Man,we got work to do.
 
Facebook wameni- ban mpaka Nov. 26.
I can almost swear niliona Dec.23 pale.
I think Facebook have changed their mind.
Naona you are complaining.
Man,we got work to do.
I'm not complaining
Ila pole pia kwa ban
 
Lakini wana haki ya ku ban hiyo video na wewe pia
Sababu ya kwanza sio nzuri kuionyesha na pili huyo ni mtoto wa mtu na ipo siku atauwa mkubwa na kuwa na maisha yake ila historia haitamuacha
Sasa wewe unaona ni vizuri isambae au ifike mahali husika na waweze kuishughulikia?
Tujifunze kuwa na stara sana
Hata ungeipiga screenshot ya huyo yaya na maelezo yangetosha sana
Good advice
 
Good advice
It is not good advice.
Watu wamekatwa na Polisi Songwe juzi.
Wao wanauliza kwa nini wamekamatwa.
Wananchi wanauliza kwa nini watu wamekamatwa.
Halafu mtu anafanya uhalifu hapa unataka kumficha.
You should know by now kwamba Polisi wanakamata hao watu innocent just for fun, because they are bored.
 
Back
Top Bottom