Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Gen Z ni sahihi usipojua hili neno.Yaya ndio kitu gani?
Andrew Nyerere katika ubora wakoIle video iliyokuwepo hapa two hours ago ya yule yaya anamtesa toddler nimeipeleka Polisi.
Polisi waneonyesha interest lakini wanasema Afande amekwenda weekend,nirudi Jumatatu.
Ndie nani sasa?Gen Z ni sahihi usipojua hili neno.
Kwa kiingereza ni nanny
Mwanamke haswa bibi anayesaidia kulea watoto wadogo.Ndie nani sasa?
Facebook wameni- ban mpaka Nov. 26.Lakini wana haki ya ku ban hiyo video na wewe pia
Sababu ya kwanza sio nzuri kuionyesha na pili huyo ni mtoto wa mtu na ipo siku atauwa mkubwa na kuwa na maisha yake ila historia haitamuacha
Sasa wewe unaona ni vizuri isambae au ifike mahali husika na waweze kuishughulikia?
Tujifunze kuwa na stara sana
Hata ungeipiga screenshot ya huyo yaya na maelezo yangetosha sana
I'm not complainingFacebook wameni- ban mpaka Nov. 26.
I can almost swear niliona Dec.23 pale.
I think Facebook have changed their mind.
Naona you are complaining.
Man,we got work to do.
Good adviceLakini wana haki ya ku ban hiyo video na wewe pia
Sababu ya kwanza sio nzuri kuionyesha na pili huyo ni mtoto wa mtu na ipo siku atauwa mkubwa na kuwa na maisha yake ila historia haitamuacha
Sasa wewe unaona ni vizuri isambae au ifike mahali husika na waweze kuishughulikia?
Tujifunze kuwa na stara sana
Hata ungeipiga screenshot ya huyo yaya na maelezo yangetosha sana
It is not good advice.Good advice
Afande wa kwenu Dodoma?Ile video iliyokuwepo hapa two hours ago ya yule yaya anamtesa toddler nimeipeleka Polisi.
Polisi wameonyesha interest lakini wanasema Afande amekwenda weekend,nirudi Jumatatu.
Pole mara nyingi post kutoka msasani zinakuwa hiviMasikini Mimi na nilivyolewa ,nahisi kizunguzungu maana sielewi nini kinazungumzwa
Mpe Dkt. Gwajima DIle video iliyokuwepo hapa two hours ago ya yule yaya anamtesa toddler nimeipeleka Polisi.
Polisi wameonyesha interest lakini wanasema Afande amekwenda weekend,nirudi Jumatatu.