Video iliyopelekea NIFFER kukamatwa

Dada kitisho kiko wapi hapo..... Tunajifanya wajuaji saana humu kelele nyingiii nje ya hapa hamna lolote.. ni wale walewale wafi... R*#$@ji tu
Mama acha vitisho... anayefanya apigi kelele na wala haitaji kelele
 
Kadharau na kudhihaki mamlaka kuu ya Nchi!! Yule msichana ana Kiherehere kibaha sana natamani wamsage sage
 
Kadharau na kudhihaki mamlaka kuu ya Nchi!! Yule msichana ana Kiherehere kibaha sana natamani wamsage sage
Acha wivu... hiyo nyimbo hajaitengeneza yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…