KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Ukipanda hiyo Gari.....uhakikishe umeshandika wosia.
Watu Wana robo mbaya mkuu duhUkipanda hiyo Gari.....uhakikishe umeshandika wosia.
Mfanyabiashara romeo huyo πVideo ya kitambo sana kipindi cha jiwe
Kwa mazingila yalivyo hiyo ndio njia pekee na inapaswa kuigwa
Ndiko tunakoelekea kwa sasa...Hii nchi italipuka wakati wowote.
Angeokotwa kama sii Mabwe Pande, basi Ununio.Kajiongeza