Video: Imenikumbusha utotoni miaka ya Tisini

Video: Imenikumbusha utotoni miaka ya Tisini

kuna washikaji wawili wamekomaa na style yao wenyewe kama wapasua mbao kwa misumeno 😀😀😀😀
 
Haikuwa modern kabisa na huenda hawachezi hiyo rumba hapo nadhani wanacheza hizi nyimbo zao za kubinua macho
 
Huoni walivyo changamka lazima watakuwa “ Aterere”! Gen. Z hao wa Kenya!!
Vijana wa bongo bado sana hawana moto huo!
Aterere ...🤣🤣🤣🤣 wakikuyu hao.. wana kastahili kao kakucheza kananiachaga hoi
 
Back
Top Bottom