Video: Imenikumbusha utotoni miaka ya Tisini

I guess hii ni Kenya πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ˜…
 
kuna washikaji wawili wamekomaa na style yao wenyewe kama wapasua mbao kwa misumeno πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
I guess hii ni Kenya πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ˜…
Huoni walivyo changamka lazima watakuwa β€œ Aterere”! Gen. Z hao wa Kenya!!
Vijana wa bongo bado sana hawana moto huo!
 
Haikuwa modern kabisa na huenda hawachezi hiyo rumba hapo nadhani wanacheza hizi nyimbo zao za kubinua macho
 
Huoni walivyo changamka lazima watakuwa β€œ Aterere”! Gen. Z hao wa Kenya!!
Vijana wa bongo bado sana hawana moto huo!
Aterere ...🀣🀣🀣🀣 wakikuyu hao.. wana kastahili kao kakucheza kananiachaga hoi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…