Video inaonyesha ving'ora viliposikika Tel Aviv na uwanja wa ndege wa Ben Gurion Waisrael wakikimbia makombora ya Yemen

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukimbi.

Video inaonyesha ving'ora viliposikika Tel Aviv na uwanja wa ndege wa Ben Gurion huku Wahouthi wakirusha makombora dhidi ya Israel kutoka Yemen. Kundi linalojihami na Iran linasema mashambulizi yao yanapinga mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza.
===============
Video shows the moment sirens ring in Tel Aviv and Ben Gurion airport as Houthis launch missiles at Israel from Yemen. The Iran-aligned armed group says their attacks are in opposition to Israel’s genocide in Gaza.

View: https://x.com/ajenglish/status/1874112062483554525?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Hizo missile mbona hawazielekezi kwa Ben
 
JF kuna vituko huyu Muisrael mweusi ya Gairo hataki habari za Israel ziandikwe JF😂

Umewekewa na chanzo Al Jazera bado hutaki wewe punguani kweli wewe.
Al jazeera walipigwa marufuku Israel na Gaza.
 
Tukisema siku zazayuni azipo mbali inshalla ndio izo unaona wazayuni owana tena technology ya kujilinda tofouti na zamani Tayali YEMEN imekuwa mwiba kwao na awana chakupoteza wkt wao wanapiga seem muimu sana kiuchumi Israel kashakubali apewe mateka wake vita viishe. Ila Neta... akiongea anajigamba lkn technology ndio inamuumbua. Watu wanachagua leo wapige wapi. Israel Imekuwa ngoma kwasasa.
 
Kusikia kwenu ni zaidi ya kule kwa kenge, hata damu ziwatoke vipi masikioni, puani na mdomoni bado hamuwezi sikia
 
JF kuna vituko huyu Muisrael mweusi ya Gairo hataki habari za Israel ziandikwe JF😂

Umewekewa na chanzo Al Jazera bado hutaki wewe punguani kweli wewe.
vIdeo ya ving'ora tumeiona aya toa sasa na video za yemeni vijijini wakichabangwa
 
Wanaukimbi.

Video inaonyesha ving'ora viliposikika Tel Aviv na uwanja wa ndege wa Ben Gurion huku Wahouthi wakirusha makombora dhidi ya Israel kutoka Yemen. Kundi linalojihami na Iran linasema mashambulizi yao yanapinga mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza.
===============
Video shows the moment sirens ring in Tel Aviv and Ben Gurion airport as Houthis launch missiles at Israel from Yemen. The Iran-aligned armed group says their attacks are in opposition to Israel’s genocide in Gaza.

View: https://x.com/ajenglish/status/1874112062483554525?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Kwa hiyo hao watu kukimbia kwenu ndo semblance ya ushindi?

Grasping at straws on every turn 🤣.

Mlichokuwa mnakitafuta, mmekipata.

Hakutakuwa tena na mashambulizi kama lile la Octoba 7.

Mtaishia kuleta rabsha rabsha tu za kurusha mawe hapa na pale halafu mnajitangazia ushindi.

Lakini kamwe hamtathubutu tena kufanya mashambulizi ndani ya Israel.

Happy 2025 🤣🤣🤣.
 
Back
Top Bottom