Afadhali yao kuliko kutaka kupiga drone na fimbo mwisho ufe kibudu.
Hizo missile mbona hawazielekezi kwa BenWanaukimbi.
Video inaonyesha ving'ora viliposikika Tel Aviv na uwanja wa ndege wa Ben Gurion huku Wahouthi wakirusha makombora dhidi ya Israel kutoka Yemen. Kundi linalojihami na Iran linasema mashambulizi yao yanapinga mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza.
===============
Video shows the moment sirens ring in Tel Aviv and Ben Gurion airport as Houthis launch missiles at Israel from Yemen. The Iran-aligned armed group says their attacks are in opposition to Israel’s genocide in Gaza.
View: https://x.com/ajenglish/status/1874112062483554525?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Al jazeera walipigwa marufuku Israel na Gaza.JF kuna vituko huyu Muisrael mweusi ya Gairo hataki habari za Israel ziandikwe JF😂
Umewekewa na chanzo Al Jazera bado hutaki wewe punguani kweli wewe.
GAZA wamezuiwa nanani we mnunua Udongo? Jiulize THAAAD ipo wp wazayuni mwaka mpyq wameenda Esabia kwenye mashimo pamoja na panya.Al jazeera walipigwa marufuku Israel na Gaza.
Kusikia kwenu ni zaidi ya kule kwa kenge, hata damu ziwatoke vipi masikioni, puani na mdomoni bado hamuwezi sikiaTukisema siku zazayuni azipo mbali inshalla ndio izo unaona wazayuni owana tena technology ya kujilinda tofouti na zamani Tayali YEMEN imekuwa mwiba kwao na awana chakupoteza wkt wao wanapiga seem muimu sana kiuchumi Israel kashakubali apewe mateka wake vita viishe. Ila Neta... akiongea anajigamba lkn technology ndio inamuumbua. Watu wanachagua leo wapige wapi. Israel Imekuwa ngoma kwasasa.
vIdeo ya ving'ora tumeiona aya toa sasa na video za yemeni vijijini wakichabangwaJF kuna vituko huyu Muisrael mweusi ya Gairo hataki habari za Israel ziandikwe JF😂
Umewekewa na chanzo Al Jazera bado hutaki wewe punguani kweli wewe.
Kwa hiyo hao watu kukimbia kwenu ndo semblance ya ushindi?Wanaukimbi.
Video inaonyesha ving'ora viliposikika Tel Aviv na uwanja wa ndege wa Ben Gurion huku Wahouthi wakirusha makombora dhidi ya Israel kutoka Yemen. Kundi linalojihami na Iran linasema mashambulizi yao yanapinga mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza.
===============
Video shows the moment sirens ring in Tel Aviv and Ben Gurion airport as Houthis launch missiles at Israel from Yemen. The Iran-aligned armed group says their attacks are in opposition to Israel’s genocide in Gaza.
View: https://x.com/ajenglish/status/1874112062483554525?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Hivyo ving’ora vinawapa faraja ya muda. Vinawafanya wajione wameshinda.vIdeo ya ving'ora tumeiona aya toa sasa na video za yemeni vijijini wakichabangwa
KWA hiyo wewe muisrael!?..wabeba misalaba bwana!!Hivyo ving’ora vinawapa faraja ya muda. Vinawafanya wajione wameshinda.
That’s how delusional these dumbasses are.
Wewe ni Hamas?KWA hiyo wewe muisrael!?..wabeba misalaba bwana!!
Wewe ndiye umesema nyinyi ving'ora mnaona ushindi,unaongea na wapalestina wewe ukiwa muisrael!?..au ndiyo dumbass mwenyewe usiyejijua?..bichwa kubwa akili huna!Wewe ni Hamas?