OCC Doctors
Senior Member
- Jul 20, 2018
- 113
- 172
Video inayoonyesha mtiririko wa damu unaobeba oksijeni na kusambaza katika tishu mbalimbali za mwili, kazi kubwa ya damu ni kusambaza hewa ya oksejeni mwilini. Hewa ya oksejeni huingia mwilini kwa kuvuta pumzi kisha hufika kwenye mapafu na kuingia katika mkondo wa damu na kusambazwa mwilini.