Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Ila haya maisha 🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣Linachezeshwa kwa maksudi aingie kingi
Ahahahah 😂😂😂Maex uliozaa nao wana tabia mbaya sana
Baba Junior mwanao amekua sasa tunacheza hadi mpira
Junior mwenyewe wala sio main character kwenye video ni takoz ndio inaonyeshwa hapo
Mpira nimecheza sana nikiwa mtoto na hadi jana nilikuwa nacheza na watoto. Mambo madogo kama haya yanakuza mahusiano na watoto, wala sio kuruka stage.Waliopitisha stage fulani kwenye maisha.
Hapa yupo mmama anacheza rede na watoto wa darasa la kwanza