Video: Jamaa kayachokoza kayapata hajui afanyeje baada ya kutumiwa video

Mambo ya kutumiana picha ni drama tu, unataka kuona mtoto/watoto nenda kawaone.
Period
 
Waliopitisha stage fulani kwenye maisha.

Hapa yupo mmama anacheza rede na watoto wa darasa la kwanza
Mpira nimecheza sana nikiwa mtoto na hadi jana nilikuwa nacheza na watoto. Mambo madogo kama haya yanakuza mahusiano na watoto, wala sio kuruka stage.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…