Video:Jay Z na Beyonce walipokutana na Flaviana Matata

1505637571042.jpg
 
Huyu ndo wadada na wakaka wengi wanampapatikia tazama anavyomtukuza simiramis MALKIA WA BABELI.

Leo hii beyonce anataka aabudiwe km alnavyoabudiwa malkia wa babeli kufichwa ndani ya bikra Maria.

Siku zitaenda nae ataanza kufanyiwa ibada kupitia kanisa lake la THE NATIONAL CHURCH OF BEY.

*Hiyo BEY imesimama kwa kufichwa ni A.k.a ya BEYONCE.

Tafakar
 
Ila hawa watu ni very influential sijui kwanini
 
Huyu ndo wadada na wakaka wengi wanampapatikia tazama anavyomtukuza simiramis MALKIA WA BABELI.

Leo hii beyonce anataka aabudiwe km alnavyoabudiwa malkia wa babeli kufichwa ndani ya bikra Maria.

Siku zitaenda nae ataanza kufanyiwa ibada kupitia kanisa lake la THE NATIONAL CHURCH OF BEY.

*Hiyo BEY imesimama kwa kufichwa ni A.k.a ya BEYONCE.

Tafakar
Wewe tangu umuabudu bikra maria ama yesu sijui mungu imekusaidia nn mpaka sasa?
 
Watu wananganga illuminat , kila mtu na maisha yake na kila mtu anafanya anachoona kwake ni safi.
 
Back
Top Bottom