MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Hao tuliambiwa hawaamini katika kanisa wala msikiti
Wewe tangu umuabudu bikra maria ama yesu sijui mungu imekusaidia nn mpaka sasa?Huyu ndo wadada na wakaka wengi wanampapatikia tazama anavyomtukuza simiramis MALKIA WA BABELI.
Leo hii beyonce anataka aabudiwe km alnavyoabudiwa malkia wa babeli kufichwa ndani ya bikra Maria.
Siku zitaenda nae ataanza kufanyiwa ibada kupitia kanisa lake la THE NATIONAL CHURCH OF BEY.
*Hiyo BEY imesimama kwa kufichwa ni A.k.a ya BEYONCE.
Tafakar
We kweli ni mpagan kama jina lakoKanisa na msikiti ni Europe/Middle East superstitions tu. Huku kwetu Africa ndio tunaukumbatia huu ulaghai.