ViDEO: Je, Diamond na Zari wamerudiana?

Diamond hajawahi msahau Zari ..
Kale kajamaa upande wa pili kanasemaje..
Anybody..!??🀷🀷
 
What about booties!!?
She misses that too...
She has a nice little shape. A fun-sized one.

Not flat on the backside. Just flat chested.

Breast augmentation might help….

But if she’s comfortable with who she is and what she has, then that’s all that matters.
 
But if she’s comfortable with who she is and what she has, then that’s all that matters.
Why r u too for her..
The real fact is that.. she got to go Mloganzilaa...
 
Who cares bro! Tafuta ka kitu! Kwanza acha kuzungumzia ishu za watu!
 
Ukiwa na pesa unazalisha wanawake kama anavyofanya Nick Cannon na hakuna zengwe. Fanya hivyo kama unasubiri mwisho wa mwezi, kitakuramba ujutie Dunia.
 
Ukiwa na pesa unazalisha wanawake kama anavyofanya Nick Cannon na hakuna zengwe. Fanya hivyo kama inasubiri mwisho wa mwezi, kitakuramba ujutie Dunia.
Ana wake na watoto wangapi so far !?
 
Mi nimeanza kuconnect dot kuhusiana na hii video baada ya Zuchu kupost kuachana na Diamond.
Hebu ngoja tuone, weekend ya moto hii tayari.
AaahhπŸ˜€
Uwanja wako huu, haya karibu ututoe tongotongo yaliyojiri
 
dadeki USA baby ashakuwa mbea mara hiiπŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜• kweli maisha gwaride
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…