PreGE2025 Video: Je, G55 walitapeli wenzao? Mzee Rungwe ameamua kupata kiinua Mgongo? Movie inaanza kuharibika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
Kwenye video wanaonekana wanachama wawili wa CHAEma wanaosema waliambiwa wanaenda kuhudhuria mkutano wa CHADEMA Dar lakini walipofika wakashangaa kukuta ni mkutano wa CHAUMMA.

Wanasema wao si CHAUMMA, bali ni CHADEMA japokuwa walihudhuria mkutano huo?

Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
waache upumbavu wao sasa walipoona siyo chadema ni chauma walishindwa nini kutoka? wahuni tu hao hawana sifa hata za kuwa chaumma chama makini
 
Mtavalisha nguo watu wa kila aina, lakini Chaumma kimewakamata pabaya
 
Hela ya CCM inaliwa kipumbavu sana, aibu kubwa sana hii, chawa kina Lucas Mwashambwa wanaambuli makombo huku John Mrema anapewa mamia ya mamilioni na anawatapeli walengwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…