Video: je wanyama Wana hisia kama binadamu?

Video: je wanyama Wana hisia kama binadamu?

Prakatatumba abaabaabaa

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2022
Posts
1,842
Reaction score
6,087
Nimeona video Moja nyati wawili wakiwa wanapigana, then akaja nyati Mwingine akamshambulia Mmoja Kati ya wale nyati waliokua wanapigana.
Nikawa najiuliza je nyati Wana hisia kama binadamu? Kwamba labda na wenyewe wanaweza kua na rafiki damudamu mpaka akamsaidie?
Mfano kama jinsi kundi la nyumbu lilivyo kubwa je wanafahamiana? Au labda wakikutana eneo tofauti wanaweza wanaweza kukumbukana kwamba walishaonana kabla? ...
 

Attachments

  • SaveInsta.App - 3236560617576357822 (1).mp4
    3.6 MB
Back
Top Bottom