Video: Jibu la Ndugai baada ya kipigo cha Taifa Stars

Hahaha hahahahaaaaaaahaaaaaahaaaaa

Hata Mimi nimefurahi
 
Hah aha hahaha, binadamu wbaya sana kuna watu wamefurahia sana haya matokeo
 
Alichokisema ndiyo kimetokea,vimo na lishe ndiyo shida
 
Tatizo walienda kuiwakilisha sisiem na sio Taifa! Ndo maana waliongozana na watu wa sisiem!
 
Hawakwelewa maaana yake
Nadhan bashuite ataheshimu watu
 
Kwa kwa kwaaaaa
Najisikia raaaha kama nabugia Pepsi baridi
 
Hivi Taifa Stars ambayo haikuwaga ya siasa ilifikia hatua gani hasa ktk kufuzu na kubeba kombe lolote Africa tangu TZ ipate uhuru 1964[emoji848]

BONGO TUPE TAARABU, SINGELI NA VIGODORO VYA WENYE VIDUKU LAKINI VIPAJI VYA SOKA WAPE ZAMBIA NA UGANDA[emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…