PostGE2025 Video : Joto la maandamano lazidi kupanda kanda ya ziwa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,591
Reaction score
14,369
Wakuu kiukweli nasikitika kuona viongozi wakiendelea kuonesha kutojali yaliyotokea.

Kanda ya Ziwa bado inaonekana vijana hawapo tayari kuweka silaha chini.

Baadhi ya mitandao ya kijamii vijana wa kanda ya ziwa wanasema aliyemuuwa Magufuli ndie aliyekua vijana October 29 kwa tamaa ya madaraka.

Your browser is not able to display this video.
 
Waache vijana wapandishe joto, tarehe 9 litapozwa na wahusika.
 

Amani ndio nguzo ya maendeleo ya Tanzania , bila utulivu hatuwezi kujenga uchumi imara, elimu bora, afya na fursa sawa kwa wote. Uhuru tuliopewa ni wajibu wa kuendeleza misingi ya waasisi wetu kwa kuungana, kushikamana na kulinda maadili ya taifa. Tunapoadhimisha siku ya uhuru, tuitumie kama nafasi ya kuombea Tanzania yetu, kuimarisha umoja na kuendeleza uzalendo unaotujenga kuwa nguvu moja dhidi ya changamoto za kijamii, kiuchumi na kisiasa. Maombi, mshikamano na upendo kwa taifa letu ndizo baraka na kinga ya Tanzania tunayoitamani. #uhuru #tanzania #africa #independence #december
 
Waambie watoke safari hii hawatapewa nafasi ya kukimbia na kwenda kujificha kwenye dari unapigwa risasi hapohapo mbele ya mali unayoiba au kuharibu.

Nyumbu kabisa.
 
Waambie watoke safari hii hawatapewa nafasi ya kukimbia na kwenda kujificha kwenye dari unapigwa risasi hapohapo mbele ya mali unayoiba au kuharibu.

Nyumbu kabisa.
Tulia akatikie taratibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…