Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
uzebeze unabii mjubaDoh,taweka wapi sura zetu manabii!!
Wapi Nchimbi ? HUYO WAZIRI SALUM NI MLINZI WA KIJADI WA SAMIA?Sijawahi ona msaidizi /?katibu wa Rais akiwa na Rais kila mahali.Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Taifa, iliyoketi Jumatatu, tarehe 28 Julai 2025, Dodoma, chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, wakitoka kikaoni, baada ya kikao hicho kumalizika usiku huu.
Fuatilia hapa: CCM wanatangaza majina ya wagombea ubunge, maamuzi ya kamati kuu muda huu
Wakati wowote kuanzia sasa, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndugu Amos Gabriel Makalla, atazungumza na waandishi wa habari wa kitaifa na kimataifa, katika Ukumbi wa NEC, Makao Makuu ya CCM, Dodoma.
Watanzania hawa Manabii walioibuka kama uyoga wamejaa YouTube kwa kudai wanaoteshwa na Mungu watawapotosha Raia wengi sana.inasikitisha kuna watu wanawaaminiDoh,taweka wapi sura zetu manabii!!
Dah watu wana mavitambi wanavimba balaa.Wote wanatembea huku wakichechemea,ni basi tu kupenda madaraka lakini hawa watu ni wagonjwa.
.Wote wanatembea huku wakichechemea,ni basi tu kupenda madaraka lakini hawa watu ni wagonjwa.
rubbish! johnthebaptistWajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Taifa, iliyoketi Jumatatu, tarehe 28 Julai 2025, Dodoma, chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, wakitoka kikaoni, baada ya kikao hicho kumalizika usiku huu.